COVID-19 inaonyesha athari za magonjwa ya mlipuko katika mwendelezo wa utoaji wa huduma, hasa kwa FP/RH. Hii ndiyo sababu, pamoja na hatua zilizochukuliwa kupambana na COVID-19, tuligundua umuhimu wa kutekeleza hatua sawia zinazohakikisha upatikanaji na mwendelezo wa huduma muhimu za RMNCAH.