Andika ili kutafuta

DESIRE 2021: Mkutano wa Elimu ya Dijitali ya Kujamiiana Asia-Pasifiki

That One Thing - The one FP/RH update you need to focus on this week

Mpendwa Bingwa wa Uzazi wa Mpango,


Je, ulisikia kuhusu mkutano wa DESIRE 2021 ambao ulifanyika katika eneo la Asia-Pasifiki Novemba mwaka jana? Ilikuwa ni moja ya makongamano ya kwanza kabisa ya elimu ya kujamiiana kidijitali (DSE) katika kanda. Sasa unaweza kujifunza kuhusu kile kilichotokea kwenye mkutano huo kupitia ripoti inayopatikana mtandaoni sasa.


Bonyeza hapa kutazama matoleo yote yaliyotangulia ya Jambo Hilo Moja.


Una wazo kwa Jambo Hilo Moja? Tafadhali tutumie mapendekezo yako.

CHAGUO LETU WIKI HII

DESIRE 2021: Mkutano wa Elimu ya Dijitali ya Kujamiiana Asia-Pasifiki

Ikiongozwa na timu ya mashirika ya Umoja wa Mataifa, DESIRE 2021 iliundwa ili kuwezesha ushirikishwaji mtambuka wa ushahidi na maarifa mapya pamoja na kuibua mijadala kuhusu masuala muhimu katika uwanja wa DSE. Kwa kuzingatia masomo na mikusanyiko ya awali ya kikanda, timu ya DESIRE 2021 iliwezesha ushirikiano na kujifunza kwa kutumia akili ya pamoja miongoni mwa waundaji, na kuangazia zaidi ubunifu na uongozi wa vijana katika uwanja mpya wa DSE.