Andika ili kutafuta

Mwandishi:

Safra Bahumura

Safra Bahumura

Safra Bahumura ni mwanahabari mwanamke kutoka Uganda aliye na historia ya kisheria anayeishi Kampala. Amefanya kazi na kampuni ya Straight Talk Africa chini ya Sauti ya Amerika kuripoti masuala yanayohusu Afrika Mashariki. Pia amefanya kazi katika utengenezaji wa filamu kadhaa ambazo zimetangazwa kitaifa.