Matokeo kutoka kwa jaribio la ECHO yalisababisha kuongezeka kwa umakini katika kuzuia VVU katika programu za kupanga uzazi. Haya ndiyo mambo mengine yanahitajika kufanyika katika muktadha wa COVID-19.
Ingawa ubora wa matunzo na mbinu inayomlenga mteja katika matunzo si maneno mapya katika kamusi ya upangaji uzazi, yanatumika mara kwa mara baada ya ECHO. Muhimu vile vile ni kuhakikisha kwamba maneno "msingi wa haki" ni zaidi ya matarajio.